cropped-LOGO-MAKAZI.png
cropped-LOGO-MAKAZI.png
Jumamosi ยท 14/11/2026

TWENZETU KIPUMBWI

TALII. WEKEZA. WEZESHWA NA TCB BANK.

0Siku
0Saa
0Dakika
0Sekunde
Kuhusu Ziara

Ziara ya Kutalii na Kuwekeza

KAMPUNI YA MAKAZI SOLUTIONS NA TCB BANK wamekuandalia ziara siku ya Jumamosi tarehe 14/11/2026 kutalii Hifadhi ya Taifa ya Saadani na kufurahia michezo ya baharini kama beach soccer, volleyball, basketball na burudani nyingine sambamba na kujionea fursa za uwekezaji katika Mradi wa Kipumbwi Satellite City.

Hifadhi ya Taifa ya SaadaniBeach soccerVolleyballBasketballBurudani nyingine
Tembo, Hifadhi ya Taifa ya Saadani
Saadani ยท picha ya mfano
Ufukwe wa Kipumbwi
Ufukwe wa Kipumbwi
Pwani ya Kipumbwi kutoka angani
Pwani ya Kipumbwi
Kipumbwi Satellite City

Fursa Utakazojionea

Fursa hizo ni pamoja na:

Uvuvi Kipumbwi1

UCHUMI WA BULUU (MARINE COMMERCIAL ZONE)

Uvuvi, Cold Rooms, Boatyard, karakana/kiwanda cha boti.

Utalii, ufukwe wa Kipumbwi2

UTALII

Kwenye Hifadhi ya Taifa ya Saadani, kisiwa cha Maziwe na Zanzibar.

Barabara mpya ya lami3

KITOVU CHA BIASHARA

Kutokana na ujenzi wa barabara mpya ya lami Tanga - Pangani - Dar, Zanzibar Gateway, Uvuvi na Biashara lukuki.

Gharama za Ziara

Chagua Unapoanzia Safari

Washiriki kutoka Dar es SalaamTsh75,000/=
Washiriki kutoka TangaTsh35,000/=
Gharama hizi zitahusisha:Usafiri wa kwenda na kurudiKiingilio Hifadhi ya Taifa ya SaadaniChakula cha mchana
Jisajili

Hifadhi Nafasi Yako

Jaza taarifa zako, kisha chagua kutuma kwa WhatsApp au Email. Timu ya Makazi Solutions itawasiliana nawe.

  1. Jaza jina na namba ya simuTaarifa hizi ni za lazima.
  2. Risiti ya malipoKama umeshalipia, pakia picha ya muamala wako.
  3. Tuma kwa WhatsApp au EmailUkishafungua, ambatanisha picha ya muamala kabla ya kutuma.
Tafadhali andika jina lako kamili (majina mawili au zaidi).
Andika namba sahihi, mf. 0712345678 au 255712345678.
Unatoka wapi?
Risiti ya Malipo
Tafadhali pakia picha ya muamala.
Tuma Usajili Wako Kupitia
Hatua ya mwisho: Kamilisha kutuma ujumbe kwenye programu iliyofunguka.