Jumamosi ยท 14/11/2026
TWENZETU KIPUMBWI
TALII. WEKEZA. WEZESHWA NA TCB BANK.
0Siku
0Saa
0Dakika
0Sekunde
Kuhusu Ziara
Ziara ya Kutalii na Kuwekeza
KAMPUNI YA MAKAZI SOLUTIONS NA TCB BANK wamekuandalia ziara siku ya Jumamosi tarehe 14/11/2026 kutalii Hifadhi ya Taifa ya Saadani na kufurahia michezo ya baharini kama beach soccer, volleyball, basketball na burudani nyingine sambamba na kujionea fursa za uwekezaji katika Mradi wa Kipumbwi Satellite City.
Hifadhi ya Taifa ya SaadaniBeach soccerVolleyballBasketballBurudani nyingine



Kipumbwi Satellite City
Fursa Utakazojionea
Fursa hizo ni pamoja na:
1UCHUMI WA BULUU (MARINE COMMERCIAL ZONE)
Uvuvi, Cold Rooms, Boatyard, karakana/kiwanda cha boti.
2UTALII
Kwenye Hifadhi ya Taifa ya Saadani, kisiwa cha Maziwe na Zanzibar.
3KITOVU CHA BIASHARA
Kutokana na ujenzi wa barabara mpya ya lami Tanga - Pangani - Dar, Zanzibar Gateway, Uvuvi na Biashara lukuki.
Gharama za Ziara
Chagua Unapoanzia Safari
Washiriki kutoka Dar es SalaamTsh75,000/=
Washiriki kutoka TangaTsh35,000/=
Gharama hizi zitahusisha:Usafiri wa kwenda na kurudiKiingilio Hifadhi ya Taifa ya SaadaniChakula cha mchana
Jisajili
Hifadhi Nafasi Yako
Jaza taarifa zako, kisha chagua kutuma kwa WhatsApp au Email. Timu ya Makazi Solutions itawasiliana nawe.
- Jaza jina na namba ya simuTaarifa hizi ni za lazima.
- Risiti ya malipoKama umeshalipia, pakia picha ya muamala wako.
- Tuma kwa WhatsApp au EmailUkishafungua, ambatanisha picha ya muamala kabla ya kutuma.